...yake aliyonayo kwa mujibu wa Sheria; 1 (f) Kwamba kila mtu anayo haki ya kupata malipo ya haki kutokana na kazi yake (g) Kwamba raia wote kwa pamoja wanamiliki utajiri wa asili wanamiliki utajiri wa asili wa nchi hii ukiwa kama dhamana kwa vizazi vyao; (h) Kwamba ili kuhakikisha kuwa uchumi wa nchi unakwenda sawa Serikali lazima iwe na mamlaka kamili juu ya njia muhimu za kuukuza uchumi; na (i) Kwamba ni wajibu wa Serikali, ambayo ni watu wenyewe, kuingilia kati kwa vitendo maisha ya uchumi ya Taifa ili kuhakikisha usitawi wa raia wote na kuzuia mtu kumnyonya mtu mwingine au kikundi kimoja kunyonya kikundi kingine na kuzuia limbikizo la utajiri kufikia kiasi ambacho hakipatani na siasa ya watu wote kuwa sawa. MADHUMUNI YA TANU Kwa hiyo basi, makusudi na madhumuni ya TANU yatakuwa kama hivi yafuatavyo:(a) Kuudumisha uhuru wa nchi yetu na raia wake; 2 (b) Kuweka heshima ya mwanadamu kwa kufuata barabara kanuni za Tangazo la Ulimwengu la Haki za Binadamu. (c) Kuhakikisha kwamba nchi yetu inatawaliwa na Serikali ya watu ya kidemokrasia na ya kisoshalist; (d) Kushirikiana na vyama vyote vya siasa...
Words: 5604 - Pages: 23
...Utangulizi Toleo la pili la Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 (au Dira 2025), ni mwendelezo wa kuelezea utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025 kupitia mipango na mikakati iliyoandaliwa ili kuleta maendeleo nchini. Mipango na mikakati hiyo, ni pamoja na Mpango wa Maboresho ya Utumishi wa Umma, Mpango wa Kurasmisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Malengo ya Maendeleo ya Millenia, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Mpango Elekezi wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka 15, Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano na Mkakati wa Kupata Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now - BRN) ambao pia unaitwa “Tekeleza Sasa kwa Matokeo Makubwa”. Dira 2025 imeundwa na nguzo kuu tano ambazo ni: (i) Kuboresha hali ya maisha ya Watanzania (ii) Kuwepo kwa mazingira ya amani,usalama na umoja (iii) Kujenga utawala bora (iv) Kuwepo jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, na (v) Kujenga uchumi imara unaoweza kukabiliana na ushindani kutoka nchi nyingine. Toleo hili litaelezea kwa kina ni kwa kiasi gani Serikali ya Tanzania imefanikisha utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025, ambayo ni kuboresha hali ya maisha ya Watanzania. Nguzo ya kwanza ya Dira 2025 iliweka malengo yafuatayo ifikapo mwaka 2025: (i) Usalama wa chakula (ii) Kutoa elimu ya msingi kwa watoto wote (iii) Kuwepo usawa wa kijinsia kwenye masuala la kijamii, kiuchumi na kisiasa (iv) Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wote (v) Utolewaji wa huduma bora za afya ya uzazi...
Words: 2292 - Pages: 10
...JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ______________________________________ HOTUBA YA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2015/16 DODOMA, 11 JUNI, 2015 1 I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16. Pamoja na hotuba hii, tumeandaa vitabu vinne vya Bajeti vinavyoelezea takwimu mbalimbali za Bajeti. Kitabu cha Kwanza ni Makadirio ya Mapato; Kitabu cha Pili ni Makadirio ya Matumizi ya Kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi na Wakala za Serikali; Kitabu cha Tatu ni Makadirio ya Matumizi ya Kawaida kwa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa; na Kitabu cha Nne ni Makadirio ya Matumizi ya Maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi na Wakala za Serikali, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2015 pamoja na Muswada wa Sheria ya Kuidhinisha Matumizi ya Serikali ya mwaka 2015 ambayo ni sehemu ya Bajeti hii. 2 2. Mheshimiwa Spika, naomba kuchukua fursa hii kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki na pia kwako wewe Mheshimiwa Spika na Waheshimiwa Wabunge wote kwa kuwapoteza marehemu Waheshimiwa Kapteni John Damiano Komba aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Eugine Mwaiposa aliyekuwa Mbuge wa Ukonga ambao wametutangulia mbele...
Words: 13308 - Pages: 54
...A STUDY OF PREGNANT WOMEN AND HEALTH WORKERS KNOWLEDGE ON MALARIA PREVENTION AND TREATMENT GUIDELINES DURING PREGNANCY Ritah Francis Mutagonda, B. Pharm. Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics Thesis Muhimbili University of Health and Allied Sciences October 2012 i A STUDY OF PREGNANT WOMEN AND HEALTH WORKERS KNOWLEDGE ON MALARIA PREVENTION AND TREATMENT GUIDELINES DURING PREGNANCY By Ritah Francis Mutagonda, B. Pharm. A thesis submitted in fulfillment of the requirements for the Degree of Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. Muhimbili University of Health and Allied Sciences October 2012 ii CERTIFICATION The undersigned certify that they have read and hereby recommend for acceptance by Muhimbili University of Health and Allied Sciences a thesis entitled “A study of pregnant women and health workers knowledge on malaria prevention and treatment guidelines during pregnancy” in fulfillment of the requirements for the degree of Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. ……………………………………………………………………………………………… Professor Appolinary A.R. Kamuhabwa Supervisor Date: …………………………………………. ……………………………………………………………………………………………… Professor Siriel Massawe Co – supervisor Date: ………………………………………… iii DECLARATION AND COPYRIGHT I, Ritah Francis Mutagonda, hereby solemnly declared that...
Words: 23638 - Pages: 95
...FROM WID TO GAD: CONCEPTUAL SHIFTS IN THE WOMEN AND DEVELOPMENT DISCOURSE Abstract The Fourth World Conference on Women, to be held in Beijing in September 1995, provides an opportunity for the world community to focus attention on areas of critical concern for women worldwide concerns that stem from social problems embracing both men and women, and that require solutions affecting both genders. One of the main objectives of the Conference is to adopt a platform for action, concentrating on some of the key areas identified as obstacles to the advancement of women. UNRISDs work in preparation for the Fourth World Conference on Women focuses on two of the themes highlighted by the United Nations Commission on the Status of Women: 2 inequality in women’s access to and participation in the definition of economic structures and policies and the productive process itself; and 2 insufficient institutional mechanisms to promote the advancement of women. The Institutes Occasional Paper series for Beijing reflects work carried out under the UNRISD/UNDP project, Technical Co-operation and Women’s Lives: Integrating Gender into Development Policy. The activities of the project include an assessment of efforts by a selected number of donor agencies and governments to integrate gender issues into their activities; the action-oriented part of the project involves pilot studies in Bangladesh, Jamaica, Morocco, Uganda and Viet Nam, the goal of which is to initiate a policy dialogue between...
Words: 17205 - Pages: 69
...INTIMATE PARTNER VIOLENCE AMONG WOMEN LIVING IN INFORMAL SETTLEMENTS: A CASE STUDY OF MANZESE, IN DAR ES SALAAM, TANZANIA. Merina Vincent Shaidi MPH (Master of Public Health) Dissertation Muhimbili University of Health and Allied Sciences November 2012 INTIMATE PARTNER VIOLENCE AMONG WOMEN LIVING IN INFORMAL SETTLEMENTS: A CASE STUDY OF MANZESE IN DAR-ES-SALAAM, TANZANIA. By Merina Vincent Shaidi A Dissertation Submitted in (Partial) Fulfillment of the Requirements for the Degree of Master of Public Health of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. Muhimbili University of Health and Allied Sciences November, 2012 CERTIFICATION The undersigned certify that he has read and hereby recommend for acceptance by the Muhimbili University of Health and Allied Sciences a thesis/ dissertation entitled Intimate partner violence among women living in informal settlements: A case study of Manzese in Dar es salaam, Tanzania, in (partial) fulfillment of the requirements for the degree of master of public health of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. ………………………………. Dr. Mangi J.Ezekiel (Supervisor) Date……………………… DECLARATION AND COPYRIGHT I, Merina Vincent Shaidi, declare that this dissertation/thesis is my original work and that it has not been presented and will...
Words: 19768 - Pages: 80