...Utangulizi Toleo la pili la Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 (au Dira 2025), ni mwendelezo wa kuelezea utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025 kupitia mipango na mikakati iliyoandaliwa ili kuleta maendeleo nchini. Mipango na mikakati hiyo, ni pamoja na Mpango wa Maboresho ya Utumishi wa Umma, Mpango wa Kurasmisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Malengo ya Maendeleo ya Millenia, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Mpango Elekezi wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka 15, Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano na Mkakati wa Kupata Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now - BRN) ambao pia unaitwa “Tekeleza Sasa kwa Matokeo Makubwa”. Dira 2025 imeundwa na nguzo kuu tano ambazo ni: (i) Kuboresha hali ya maisha ya Watanzania (ii) Kuwepo kwa mazingira ya amani,usalama na umoja (iii) Kujenga utawala bora (iv) Kuwepo jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, na (v) Kujenga uchumi imara unaoweza kukabiliana na ushindani kutoka nchi nyingine. Toleo hili litaelezea kwa kina ni kwa kiasi gani Serikali ya Tanzania imefanikisha utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025, ambayo ni kuboresha hali ya maisha ya Watanzania. Nguzo ya kwanza ya Dira 2025 iliweka malengo yafuatayo ifikapo mwaka 2025: (i) Usalama wa chakula (ii) Kutoa elimu ya msingi kwa watoto wote (iii) Kuwepo usawa wa kijinsia kwenye masuala la kijamii, kiuchumi na kisiasa (iv) Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wote (v) Utolewaji wa huduma bora za afya ya uzazi...
Words: 2292 - Pages: 10
...CHAMA CHA MAPINDUZI AZIMIO LA ARUSHA NA SIASA YA TANU JUU YA UJAMAA NA KUJITEGEMEA Imetolewa na Idara ya Habari, TANU, Dar es Salaam, 1967 0 SEHEMU YA KWANZA Imani ya Tanu SIASA YA TANU NI KUJENGA NCHI YA UJAMAA, MISINGI YA UJAMAA IMETAJWA KATIKA KATIBA YA TANU, NAYO NI HII Kwa kuwa TANU inaamini:(a) (b) (c) Kwamba binadamu wote ni sawa; Kwamba kila mtu anastahili heshima; Kwamba kila raia ni sehemu ya Taifa na anayo haki ya kushiriki sawa na wengine katika Serikali tangu ya Mitaa, ya Mikoa hadi Serikali Kuu; (d) Kwamba kila raia anayo haki ya uhuru wa kutoa mawazo yake, ya kwenda anakotaka, wa kuamini dini anayotaka na wa kukutana na watu mradi havunji Sheria; (e) Kwamba kila mtu anayo haki ya kupata kutoka katika jamii hifadhi ya maisha yake na ya mali yake aliyonayo kwa mujibu wa Sheria; 1 (f) Kwamba kila mtu anayo haki ya kupata malipo ya haki kutokana na kazi yake (g) Kwamba raia wote kwa pamoja wanamiliki utajiri wa asili wanamiliki utajiri wa asili wa nchi hii ukiwa kama dhamana kwa vizazi vyao; (h) Kwamba ili kuhakikisha kuwa uchumi wa nchi unakwenda sawa Serikali lazima iwe na mamlaka kamili juu ya njia muhimu za kuukuza uchumi; na (i) Kwamba ni wajibu wa Serikali, ambayo ni watu wenyewe, kuingilia kati kwa vitendo maisha ya uchumi ya Taifa ili kuhakikisha usitawi wa raia wote na kuzuia mtu kumnyonya mtu mwingine au kikundi kimoja kunyonya kikundi kingine na kuzuia limbikizo la utajiri kufikia kiasi ambacho hakipatani na siasa ya watu wote kuwa sawa. MADHUMUNI...
Words: 5604 - Pages: 23
...UNIVERSITY OF CAPE COAST INSTITUTE FOR EDUCATIONAL PLANNING AND ADMINISTRATION M.ED. (ADMIN. IN HIGHER EDUCATION)-DISTANCE RESEARCH PAPER INEQUALITY IN ACCESSING HIGHER EDUCATION IN GHANA: THE CHALLENGES AND WAYFORWARD AKPLOME PRECIOUS INTRODUCTION Globally, education remains the fulcrum for the achievement of higher economic, social, technological standards and development. Education continues to receive wide attention amongst most developed nations’ governments and policy due to the remarkable contributions that it brings to the nation. In Africa even though there seems to be a concerted effort by various governments to improve on education at all levels, there is gender inequality in access to education at all levels of the academic ladder. Gender inequality in access to education continues to receive considerable attention worldwide and many developing counties. Ghana is no exception and the situation affects national development and also limits opportunities for women especially in enjoying higher job prospects in the country. At the 1990 World Conference on Education for All in Jomtien, Thailand, particular emphasis was placed on female education not only as a fundamental right, but also as an important means for economic and social development (UNESCO, 2003). Undeniably, education has been viewed by many as central to the achievement of greater equality in society, including between men and women. This notwithstanding, the lack of education has been...
Words: 3422 - Pages: 14
...JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ______________________________________ HOTUBA YA MHESHIMIWA WAZIRI WA FEDHA, SAADA MKUYA SALUM (MB.), AKIWASILISHA BUNGENI MAPENDEKEZO YA SERIKALI KUHUSU MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KWA MWAKA 2015/16 DODOMA, 11 JUNI, 2015 1 I. UTANGULIZI 1. Mheshimiwa Spika, naomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu lijadili na kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka 2015/16. Pamoja na hotuba hii, tumeandaa vitabu vinne vya Bajeti vinavyoelezea takwimu mbalimbali za Bajeti. Kitabu cha Kwanza ni Makadirio ya Mapato; Kitabu cha Pili ni Makadirio ya Matumizi ya Kawaida kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi na Wakala za Serikali; Kitabu cha Tatu ni Makadirio ya Matumizi ya Kawaida kwa Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa; na Kitabu cha Nne ni Makadirio ya Matumizi ya Maendeleo kwa Wizara, Idara zinazojitegemea, Taasisi na Wakala za Serikali, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa. Aidha, upo Muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2015 pamoja na Muswada wa Sheria ya Kuidhinisha Matumizi ya Serikali ya mwaka 2015 ambayo ni sehemu ya Bajeti hii. 2 2. Mheshimiwa Spika, naomba kuchukua fursa hii kutoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki na pia kwako wewe Mheshimiwa Spika na Waheshimiwa Wabunge wote kwa kuwapoteza marehemu Waheshimiwa Kapteni John Damiano Komba aliyekuwa Mbunge wa Mbinga Magharibi na Eugine Mwaiposa aliyekuwa Mbuge wa Ukonga ambao wametutangulia mbele...
Words: 13308 - Pages: 54
...INTIMATE PARTNER VIOLENCE AMONG WOMEN LIVING IN INFORMAL SETTLEMENTS: A CASE STUDY OF MANZESE, IN DAR ES SALAAM, TANZANIA. Merina Vincent Shaidi MPH (Master of Public Health) Dissertation Muhimbili University of Health and Allied Sciences November 2012 INTIMATE PARTNER VIOLENCE AMONG WOMEN LIVING IN INFORMAL SETTLEMENTS: A CASE STUDY OF MANZESE IN DAR-ES-SALAAM, TANZANIA. By Merina Vincent Shaidi A Dissertation Submitted in (Partial) Fulfillment of the Requirements for the Degree of Master of Public Health of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. Muhimbili University of Health and Allied Sciences November, 2012 CERTIFICATION The undersigned certify that he has read and hereby recommend for acceptance by the Muhimbili University of Health and Allied Sciences a thesis/ dissertation entitled Intimate partner violence among women living in informal settlements: A case study of Manzese in Dar es salaam, Tanzania, in (partial) fulfillment of the requirements for the degree of master of public health of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. ………………………………. Dr. Mangi J.Ezekiel (Supervisor) Date……………………… DECLARATION AND COPYRIGHT I, Merina Vincent Shaidi, declare that this dissertation/thesis is my original work and that it has not been presented and will...
Words: 19768 - Pages: 80
...THE UNIVERSITY OF DODOMA SCHOOL OF SOCIAL SCIENCES DEPARTMENT OF BUSINESS ADMINISTRATION MBA-EXECUTIVE PROGRAMME 2009/2010 RESEARCH PROPOSAL By KIBIKI YUSTIN, L.M TITLE: MANAGEMENT OF CAPITATION GRANTS IN PRIMARY SCHOOLS OF TANZANIA: A CASE OF KIGOMA DISTRICT COUNCIL PROPOSED SUPERVISOR: DR MBOGORO DEPARTMENT OF ECONOMICS –UDOM 1. INTRODUCTION 1.1 Background to the Study Problem Sound Economic Governance is essential for the achievement of the desired reduction in poverty levels and improvements in economic growth in Tanzania. Good Public Financial Management (PFM) is important for efficient, effective and equitable utilization of scarce national resources (REF). Whilst the extent to which policy makers are held accountable to their constituents is an excellent indicator of good governance. Accountability and transparency go hand in hand in developing open and participatory decision-making processes. In 2005, the government of Tanzania reviewed the financial management practices and processes at the central government level. In 2006, the focus has shifted to local government, which now accounts for an increasing proportion of expenditures and is primarily responsible for service delivery in sectors such as primary education and primary health (URT, 2004). This kind of study is therefore wanting to provide a snapshot of how the resource allocation, resource management and control, resource utilization and accountability processes take place...
Words: 14395 - Pages: 58
...A STUDY OF PREGNANT WOMEN AND HEALTH WORKERS KNOWLEDGE ON MALARIA PREVENTION AND TREATMENT GUIDELINES DURING PREGNANCY Ritah Francis Mutagonda, B. Pharm. Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics Thesis Muhimbili University of Health and Allied Sciences October 2012 i A STUDY OF PREGNANT WOMEN AND HEALTH WORKERS KNOWLEDGE ON MALARIA PREVENTION AND TREATMENT GUIDELINES DURING PREGNANCY By Ritah Francis Mutagonda, B. Pharm. A thesis submitted in fulfillment of the requirements for the Degree of Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. Muhimbili University of Health and Allied Sciences October 2012 ii CERTIFICATION The undersigned certify that they have read and hereby recommend for acceptance by Muhimbili University of Health and Allied Sciences a thesis entitled “A study of pregnant women and health workers knowledge on malaria prevention and treatment guidelines during pregnancy” in fulfillment of the requirements for the degree of Master of Science by Research in Pharmacology and Therapeutics of Muhimbili University of Health and Allied Sciences. ……………………………………………………………………………………………… Professor Appolinary A.R. Kamuhabwa Supervisor Date: …………………………………………. ……………………………………………………………………………………………… Professor Siriel Massawe Co – supervisor Date: ………………………………………… iii DECLARATION AND COPYRIGHT I, Ritah Francis Mutagonda, hereby solemnly declared that...
Words: 23638 - Pages: 95