...Utangulizi Toleo la pili la Darubini ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2025 (au Dira 2025), ni mwendelezo wa kuelezea utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025 kupitia mipango na mikakati iliyoandaliwa ili kuleta maendeleo nchini. Mipango na mikakati hiyo, ni pamoja na Mpango wa Maboresho ya Utumishi wa Umma, Mpango wa Kurasmisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania (MKURABITA), Malengo ya Maendeleo ya Millenia, Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini (MKUKUTA), Mpango Elekezi wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka 15, Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Miaka Mitano na Mkakati wa Kupata Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now - BRN) ambao pia unaitwa “Tekeleza Sasa kwa Matokeo Makubwa”. Dira 2025 imeundwa na nguzo kuu tano ambazo ni: (i) Kuboresha hali ya maisha ya Watanzania (ii) Kuwepo kwa mazingira ya amani,usalama na umoja (iii) Kujenga utawala bora (iv) Kuwepo jamii iliyoelimika vyema na inayojifunza, na (v) Kujenga uchumi imara unaoweza kukabiliana na ushindani kutoka nchi nyingine. Toleo hili litaelezea kwa kina ni kwa kiasi gani Serikali ya Tanzania imefanikisha utekelezaji wa nguzo ya kwanza ya Dira 2025, ambayo ni kuboresha hali ya maisha ya Watanzania. Nguzo ya kwanza ya Dira 2025 iliweka malengo yafuatayo ifikapo mwaka 2025: (i) Usalama wa chakula (ii) Kutoa elimu ya msingi kwa watoto wote (iii) Kuwepo usawa wa kijinsia kwenye masuala la kijamii, kiuchumi na kisiasa (iv) Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wananchi wote (v) Utolewaji wa huduma bora za afya ya uzazi...
Words: 2292 - Pages: 10
...HOUSEHOLD PROJECTIONS FOR TANZANIA: 2003-2025 Josephat Peter M.A. (Statistics) Dissertation University of Dar es Salaam November, 2007 HOUSEHOLD PROJECTIONS FOR TANZANIA: 2003-2025 By Josephat Peter A Dissertation Submitted in Partial Fulfilment of the Requirements for the Degree of Master of Arts (Statistics) of the University of Dar es Salaam University of Dar es Salaam November, 2007 CERTIFICATION The undersigned certify that he has read and hereby recommend for acceptance by the University of Dar es Salaam a dissertation entitled Household Projections for Tanzania: 2003-2025, in fulfilment of the requirements for the degree of Master of Arts (Statistics) of the University of Dar es Salaam. …………………………………………………………… Prof. C.L. KAMUZORA (Supervisor) Date: ………………………………………………………. DECLARATION AND COPYRIGHT I, Josephat Peter, declare that this thesis is my own original work and that it has not been presented and will not be presented to any other University for a similar or any other degree award. Signature ………………………………………………. This thesis is copyright material protected under the Berne Convention, the Copyright Act 1999 and other international and national enactments, in that behalf, on intellectual property. It may not be reproduced by any means, in full or in part, except for short extracts in fair dealings, for research or private study, critical scholarly review or discourse with an acknowledgment, without the written...
Words: 22571 - Pages: 91